RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BI. VICTORIA KWAKWA.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa, tarehe 17 Machi 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

 

Rais Samia ameshukuru Bi Kwakwa ambaye alifika kuaga rasmi, kwa ushirikiano aliouonyesha kwa Tanzania

Comments